Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,358
- 14,731
Mafanikio ya Morocco ni mafanikio ya Africa watake wasitake ππππKila nchi inajipigania kwa manufaa ya nchi yake,
tuache kudandia mafanikio ya nchi zingine.
Naona unaumia kijanaπ€£Ushindi huu ni ushindi tuna udedicate kwa waislamu wote duniani, Leo misikitini tufanye sherehe
Pole sana kijana,Ushindi huu ni ushindi tuna udedicate kwa waislamu wote duniani, Leo misikitini tufanye sherehe
Naumiaje na Leo msikitini tunapika pilau na nyama ya Bata? Muislamu ndugu yake muislamNaona unaumia kijanaπ€£
Wewe muarabu wa igwemanoni tuliaWanakataa wangapi?
Pole kijana subiri uishabikie DR Congo wanacheza na EnglandNaumiaje na Leo msikitini tunapika pilau na nyama ya Bata? Muislamu ndugu yake muislam
Vipi kama Morocco wangetolewa?Mafanikio ya Morocco ni mafanikio ya Africa watake wasitake ππππ
Hapo Mimi nipo englandPole kijana subiri uishabikie DR Congo wanacheza na England
Tungesikitika halafu tungesahau ππVipi kama Morocco wangetolewa?
Ingekua kutolewa kwao ndio kutolewa kwa Waafrika wote pia?
Kwa nini sio DRC?Hapo Mimi nipo england
ZamaaniiKumbe ujerumani katoka
SiwakubaliKwa nini sio DRC?
Sio katoka,Kumbe ujerumani katoka
Lakini haiwasaidii chochote, focus ni kushinda world cupUholanzi hawajawahi kufungwa dakika 90 toka 2010
Ni kwa vile wenyewe pia wanashindwa kushinda mechi ndani ya dakika 90 na extra time na wakifika kwenye penati ndo hawawezi kabisaLakini haiwasaidii chochote, focus ni kushinda world cup
Portugal naona hawako mbaliVituo
1.Germany>Uholanzi>
Kuna Mkubwa mmoja anakuja piaππ
Ni 16 boraHao wameenda zao robo fainali