2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ureno atatolewa mapema sana timu ina ubinafsi mkubwa sana ona dogo kafosi kufunga mwenyewe na ronaldo alikuwepo timu ina ubinafsi hatari hawa 32 kutoboa ngumu
Hawaendi popote.Kuna kitu hakipo sawa. Bora wangekuwa wanampa Ronaldo dakika za mwisho
 
Hiki kitu nimekiona kuna huyo dogo black WA Portugal hapo mwisho kapiga Mpira nje kabisa kujidai anatafuta angle badala ya kumpa pasi mwenzie Halafu anashika mashavu anatabasamu
Kuna uhuni wameudanya timu zote 2,yani et wachezaji wanatembea na mpira, wanapata nafasi wanapiga nje.Ronaldo anapiga story sn ba James wa Colombia Unadhani hapo kuna ushindani wa dhati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…