2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sahihi kabisa.
Lakini ile mechi ya DRC vs Ureno Wakongo walikuwa na uwezo wa kufanya attack na kushinda
sie hatuangalie ulikuwa na uwezo wa kushinda tunataka ufunge hayo magoli kwa counter tuone kweli mpango mkakati wako unaweza kuukamilisha vizuri sio nusu nusu
 
katika michezo 24 ya round ya kwanza, underdog team walishidwa kufunga goli katika michezo 5/24. katika round ya pili underdog ameshindwa funga goli katika michezo 14/24.
hii inatuambia kwamba kwenye round ya kwanza ile starting 11 sio the best starting 11 na hivyo marekebisho yatarajiwe ili kupata team ambayo ina function vizuri.
 
There are still FOUR teams yet to concede a single goal at the World Cup ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ