Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,657
- 23,134
Goooaaaallllll la 5 huhuhuuu
Avunjike tu atajua mwenyewe. Si ajitia kukomaa kisabuniPunda afe mzigo ufike.
Nia kaka yao CR7 apate hat trick, hata kama atavunjika mguu
Goli la wazi ni penati maana pale hukabwi na mtuMchezaji wenu amekosa goli la wazi
Kaingizwa kufunga tuRafael
Ole wenu sipofunga hat trick mtakoma😂😂
Tanzania ya ngapi?Wako nafasi 50