Hahahahaaa. Ngoja nimwite kwa kweeli. 😃😃Labda tumuite Mwasibu alete hesabu zake Kali za Kihasibu tuone itakuwake 😆
Nye nye nye nye....!
Labda mpira wa kikapu..
Dah!...Hat trick nyingine hiyo..Argentina mechi ya mwisho anakipiga na Jordan
Hii ni mechi ya Messi kuendelea kujipigia magoli.
Nani atamtoa Ufaransa hapo?..Jamaa ametabiri tangu December mwaka jana
2026 World Cup prediction 🇦🇷
Group Stage
🇦🇷 3-0 🇩🇿
🇦🇷 2-0 🇦🇹
🇦🇷 4-0 🇯🇴
Round of 32
🇦🇷 2-0 🇺🇾
Round of 16
🇦🇷 3-0 🇮🇷
Quarterfinal
🇦🇷 2-1 🇵🇹
Semifinal
🇦🇷 2-1 🏴
Final
🇦🇷 2-1 🇪🇸
Mkuu Poker nipo sana hapa nataka nimshangilie kikongwe mwenzangu RonaldoScars jiandae kisaikolojia
Nawasalimu uran Al Mukheef raraa reree moudgulf Proved Da'Vinci dosho12 Greatest Of All Time Cookie Shadeeya
Dua zetu ni ronaldo asifunge tu.