2026 FIFA World Cup - Special Thread

Tatizo haujikiti kwenye hoja na kufanya huu mjadala uonekane kama malumbano ya watu wawili wanaoshindana ku type haraka.
Hii debate nilishaimaliza toka juzi, nilikuwekea hoja za maana hapa ukashindwa kuzijibu ukabaki kumwita mtoto wa watu "dwarf"... sasa tutajadili nini hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…