2026 FIFA World Cup - Special Thread

Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?
Sasa ninja hapo unakuwa umetoa mfano gani sasa?

Kwani Ronaldo huko Saudia ameenda kuchezea timu ya Taifa au Club?

Kwasababu naweza kuku challenge.

Tanzania katika ligi bora level ya Vilabu tumewazidi Ivory Coast, Nigeria, Tunisia, Ghana, Kenya nk.

Je hiyo inamaanisha kwamba Simba na Yanga katika ubora wamezidiwa na Rivers United?
 
Ndio hapo najiuliza mambo ya mpira wameanza lini.

Na by the way Qatar na Saud Arabia ni shabiki namba moja wa Argentina kuliko Argentina wenyewe.

Na kama ilivyo ada, aliyekuwa shabiki wa Argentina ni lazima awe shabiki wa Spain.

So do your maths
Kwahiyo Scars Saudia wamewaachia spain wafunge kisa wao ni mashabiki wa Messi/Argentina??
 
Bwana wee afunge magoli Ronaldo acheni stori za porini..aachw usenge akaze matako afunge..hatutaki huruma huku WC.
 
Unaelewa kwanini Dwarf ali retire mara 2 kuchezea timu ya Taifa?
Mwamba unatumia
Manguvu mengi sana kumpinga Mfalme Messi.... Mpaka world cup inaishi sio tu vidonda vya tumbo bali utakuwa na vidonda mwili nzima....
 
Mwambieni Kaka Yenu Ronaldo tunataka magoli akaze kiuno..asitake huruma ya Dunia..Anduche atawatesa sana kesho tena saa mbili tu.

Unakuwaje Mchezaji mkubwa unashindwa kufunga wakata viuno wa Congo..pumbavu kabisa..
 
Mwamba unatumia
Manguvu mengi sana kumpinga Mfalme Messi.... Mpaka world cup inaishi sio tu vidonda vya tumbo bali utakuwa na vidonda mwili nzima....
Tatizo haujikiti kwenye hoja na kufanya huu mjadala uonekane kama malumbano ya watu wawili wanaoshindana ku type haraka.
 
Mwambieni Kaka Yenu Ronaldo tunataka magoli akaze kiuno..asitake huruma ya Dunia..Anduche atawatesa sana kesho tena saa mbili tu.

Unakuwaje Mchezaji mkubwa unashindwa kufunga wakata viuno wa Congo..pumbavu kabisa..
Watu milioni 117 wanasema Pessi ni Goat

Watu milioni 172 wanasema Ronaldo ndio GOAT

Numbers don't lie
 
Bwana wee afunge magoli Ronaldo acheni stori za porini..aachw usenge akaze matako afunge..hatutaki huruma huku WC.
Unaemshauri afunge magoli ana magoli 973. Ulikuwa unalijua hilo?

Na huyo ambaye unamfananisha naye unafahamu kuwa alisha retire mara 2 kuchezea timu yake ya Taifa?

Unaelewa sababu ilikuwa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…