Hili goal moja limetokea wapi ?Hydration Break
4-1
Unatumia tv gani?Hydration Break
4-1
Umewapa handicap 😝Hydration Break
4-1
Mashabiki wa Pessi sijui kwanini huwa mnapenda kuongea mambo bila dataHawa Saudia ndo maana Ronaldo alikimbilia kucheza ligi ya huko maana anafanana nao... naona tu mavitambi uwanjani..
Asalamalekoo✋️FT
Spain 4
Saudia Arabia 0
Waage tu
Afu anamsingizia Bruno eti hampi pasiHawa Saudia ndo maana Ronaldo alikimbilia kucheza ligi ya huko maana anafanana nao... naona tu mavitambi uwanjani..
Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?Mashabiki wa Pessi sijui kwanini huwa mnapenda kuongea mambo bila data
Kaangalie ranking za League bora utaona MLS anayochezea huyo Dwarf imezidiwa na SPL ya the real GOAT achana na FIFA Princess.
MLS intensity yake haijatofautiana sana na NBC
Sasa ninja hapo unakuwa umetoa mfano gani sasa?Na vipi ukiangalia USMNT wakikutana na Saudia mziki unauonaje?
Unaelewa kwanini Dwarf ali retire mara 2 kuchezea timu ya Taifa?Afu anamsingizia Bruno eti hampi pasi