comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,249
- 16,570
Unatongozaje mwanaume tena kipande Cha baba chenye uboo imara, au ndio mnavyofundishwa msikitini.Wewe Mnywa Visungura Mimi sitakubloc hata niwekewe dau kubwa mezani , inabidi niwe naona reply zako ili niwe nakurekebisha na kukutongoza kwenye njia ya sawa ..
Uzuri wewe ni mlevi mstaarabu hautukani watu hovyo na unajitambua ndio maana sikukatii tamaa na nitaendelea kukurekebisha....
Typing error hiyo ilibidi isomeke kukuongozaUnatongozaje mwanaume tena kipande Cha baba chenye uboo imara, au ndio mnavyofundishwa msikitini.
Hilo neno lipo kwenye keyboard Yako ndio mana likaja, hapo utakua ulikua unarusha nyavu kwa ustadhat mmoja mtoto wa sheheTyping error hiyo ilibidi isomeke kukuongoza
Man U wewe bila shaka
The clown of tournament 😂
Ongeza na Madrid hapoMan U wewe bila shaka
Kazingua jana wanapata nafasinza kuwamaliza scotland mashuti yao yanapaaa tuuInatakiwa ampige tu hakuna namna
Bandugu mna visa nyie 😂😂😂The loving midget by FIFA
View attachment 3611601
Tumefikia huku
Your FIFA Princess struggling to score bicycle kick
Noma snView attachment 3611500
Hiyo game ya Saa tano ya moto sana
Bila shaka ni shabiki wa Nyumbu united sio bure
Casemiro kahamia Timu ipi??
Naona unachemka haraka hili jukwa huru mkuu kuanza kushushana heshima sio issue
Casemiro kahamia Timu ipi??
Naona unachemka haraka hili jukwa huru mkuu kuanza kushushana heshima sio issue
Casemiro ali declare tangu mwanzo kwamba hatoongeza mkataba na kuwa dirisha kubwa atatimka.
Na mpaka sasa kama hujui Casemiro kaenda Inter Miami huko Marekani kuchukua mafao yake