2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kati yangu mimi na wanaoishabikia scotland, senegal, france, brazil dhidi ya Morocco/waarabu ni nani mbaguzi?
Unapenda ligi za kipuuiz, mindset yako imekaa kibaguzi na kichwani kwako yamejaa mawazo ya ubaguzi. Ndio maana kila unachoona mtu kaandika kuhusu mechi ya timu za kiarabu hisia ya kwanza hukupeleka moja kwa moja kwenye mambo ya ubaguzi.

Moja ya timu ninayoipenda ni Algeria, Punguza kutazama mambo kihisia. Mimi sio mpenzi wa scotland wala morocco hivyo nilifurahia tu kuona game yenye ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…