Hawa hawatoboi nafasi nyingi hawana.meno wangekutana na england tu hapa wangeisha tatz scot nae hana wafungajiHuu mpira wa Morocco hawafiki mbali. Wanacheza show game. Pasi fupifupi pamoja na back passes za nini?
Na wanaweza kosa ya nne wasipokuwa makiniKumbe! Maana kukosa fainali 3 mfululizo, hata baada ya kuongezwa timu, simchezo.
Huu mpira wa pasi milioni waliuweza Brazil tu miaka ya nyuma na uzuri wa Brazil walikua na pure talented footballers katika kila kombe la dunia. Lakini style ya ujerumani na Ufarasa ndiyo inayotamba kwa sasa. WajiangalieHawa hawatoboi nafasi nyingi hawana.meno wangekutana na england tu hapa wangeisha tatz scot nae hana wafungaji
Brazil tunaanza nayo muda si mrefu halafu Turkey saa 6 asubuhiHaya laleni au mnasubiri sa 9
Haya mie team Scotland nakusanya viragoTupooo
Lol 😆 au wewe muwekezajiBrazil tunaanza nayo muda si mrefu halafu Turkey saa 6 asubuhi
Mbona ww hulaliHaya laleni au mnasubiri sa 9
Nalala baado kidogoMbona ww hulali