ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,374
- 41,219
AsanteeBe humble,ukipata mtu muungwana mwenye kukupenda huwezi kuwa jeuri
Hapana,nilitengeneza ID isiyoeleweka makusudi,mimi ni ME zee kabisaaaWe si mdada π€π
We jamaa lolMsihamie tu PM π€£π€£π€£
Nawapa nafasi kubwa sana ya kufika mbaliChama langu
Eeh ndio mkuu wa nchi, kawaweka tuu mawaziri wakuu kama watendajiMataifa ya jumuiya ya madola
Duh haya mzeeπHapana,nilitengeneza ID isiyoeleweka makusudi,mimi ni ME zee kabisaaa
Leo sina maisha nipo lindo. Ngoja niishi humu humuBall lishaanza
π, hata ww hueleweki kama ni ME au KE?Duh haya mzeeπ
CSTJua wapi sasa mdau?
Hujawahi kufatilia nyuzi zangu et?π, hata ww hueleweki kama ni ME au KE?