2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ni kweli lakini pia sioni kama wana dalili ya kurudi kwenye angalau nusu ya ubora ule ni kama vile timu yao inadidimia kisoka kutoka kuwa football powerhouse hadi kuwa average team mbele ya mataifa kama France, England, Spain, Germany nk
Kuna jamaa anasema! England alimaanisha EPL ndio imeharibu soka la Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…