Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Nakubali mkuuMkuu hata Kocha aliyepita Fernando Santos alimvumilia sana Ronaldo, baadae akaona huu upuuzi akanza kumweka bench.. Kilichomkuta akafutwa kazi... Haya maisha inabidi ubalansi professionalism na kaunafki...
We angalia Brazil, Carlo Ancelot alikua hataki kumwita Neymar.. Baadae skaona mashabiki nchi nzima wana mind Neymar aitwe... Baadae akaona hawa mafala niwape wanachotaka ili niendelee kulinda kibarua changu... Sasa hv ukiangalia Neymar mwenyewe wachezaji ni full injury na hata angecheza hana mchango wowote wa maana..
Relax mrembo..Mkuu hakuna sehemu nimekuquote punguza kuwashwa
Wakati Ukuta.Cristiano Ronaldo in the first half:
0 goals
0 assists
0 shots
0 shots on target
0 chances created
0 big chances created
0 successful take-ons
0 fouls won
0 duels won
Despite Portugal having 80% possession.
Nitaangalia marudio. Me sifiki saa 7 za usk eti naangalia mpira..mwweeehWhy jamani? Hiyo ndio itakuwa mechi hasaa
Sikuifatilia kwa ukaribu kama hiiKwani ya mwaka 2022 haikuwa na ushindani?
Tatizo wanataka afunge Magoli mengi kama Messi mwisho wa siku anaboronga mpaka vitoto vichanga vya akina Mbappe vinamzidi magoli..Wanamfosia tap in wanaacha kutafuta ushindi
Wanafanya ujinga ujinga baadae Messi akibeba ndoo wanaanza Malalamiko.Wanamfosia tap in wanaacha kutafuta ushindi
KabisaTatizo wanataka afunge Magoli mengi kama Messi mwisho wa siku anaboronga mpaka vitoto vichanga vya akina Mbappe vinamzidi magoli..
Hiyo ni kama enzi za Chuo unakuta kila group presentation unawekwa na wavuta bangi tupu.. morali utaitoa wapi?Hata ungekuwa wewe mkuu, straika wako babu cr7 uchungu unaupatia wapi?
Mimi kwa MalkiaTwende na draft bana
Nimeona kama jamaa hajafanya maksudiMnnnnh, mbona penati ya mchongo sana hiyo