Zilipendwa huyo...
La Pulga habari ya mjini
Humu wanaimba kila kukicha na kufungua thread kibao za Ureno bingwaShot on target 1πππ aah Ureno ndio nini sasa
Kwa mwendo huu tutegemee Africa, nusu fainaliHumu wanaimba kila kukicha na kufungua thread kibao za Ureno bingwa
Why jamani? Hiyo ndio itakuwa mechi hasaaGame ya saa 5 siiwezi
Nalog off
Hiyo ndio game kaliGame ya saa 5 siiwezi
Nalog off
Ndiyo raha yetuWorld cup ya mwaka huu ina ushindani sanaπ₯π₯π₯
Kwani ya mwaka 2022 haikuwa na ushindani?World cup ya mwaka huu ina ushindani sanaπ₯π₯π₯
Mkuu hata Kocha aliyepita Fernando Santos alimvumilia sana Ronaldo, baadae akaona huu upuuzi akanza kumweka bench.. Kilichomkuta akafutwa kazi... Haya maisha inabidi ubalansi professionalism na kaunafki...Ureno wakiweza kumuweka benchi Ronaldo watafika mbali sana maana anawakaba