2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kocha wa Portugal ni miyeyusho. Ana vifaa vyote ila kupanga mashambulizi na kumiliki mechi ameshindwa. Kocha wa DRC alivyoingia kipindi cha pili timu yake umekuja na maelekezo unayaona kabisa wanavyocheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…