Iraq wanarudisha mapema tuDuh! Wanafunga ila hawana mpango
Mimi niko na wafungaji tu baadae Messi na AlvarezAtatisha sana
Kuna tatizo kidogoHivi kwanini huu uzi usiupe badge ya Live yakudumu?
Kwamba hata muda ambao mechi hazichezwi uwe live tu au mpaka mashindano yaishe uendelee kuwa live tuHivi kwanini huu uzi usiupe badge ya Live yakudumu?
Sawa...mimi bado nipongoja nilale kwaajili ya kumshuhudia Greatest Of All Time