Shida yetu ni kumuona Haaland anafunga mabao mengi tuNorway hawafiki mbali
Norway 1- 1 IraqHizi timu mbili hapa Norway na Iraq watakuwa wagawa utamu.
Hapo sasa Haaland aongeze la pili Iraq wachomoe halafu Haaland aweke la 3 halafu wachomoe tenaIraq wana level scoreboard hapa...
1-1
Hizi timu za kiarabu zinacheza kwa kujituma sana kama timu fulani hivi hapa bongoNorway wanangu sana yani....
Wanakatisha tamaa
Hawana timu hawa wamebahatisha kuja huku bora wangekuja ItalyHawana Winger wazuri
Bado1Haland akishindwa kupiga kamba 3 nitamshangaa