2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kabisa mtani...
Halafu tokea haya mashindano yaanze.
Sub zinazoingia huwa zinaleta impact sana...
So Spain wakifanya mabadiliko ya Yamin atabadilisha mchezo.

Japo na yeye anakabika tu.

Na Wakiruhusu goli, wanapigwa 3
Yah! Ila hawa ndugu zetu wakaze kaze kidogo Afrika hatutaki aibu kama aliyokutana nayo yule jamaa aliyepigwa 7 na Germany.
 
Second half sijaona kocha wa Spain kabadili nini. Naona hata South Korea anawatandika hawa hata robo hawaendi kwa mpira nyanya huu wanaocheza hapa.

Hawana strategy kabisa. Spanish wachezaji wa Real Madrid walioachwa wataona hamna sababu ya msingi iliyowaweka nje ya kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…