Kitaalam tunaiita KIBUNZI. Huo mzigo unakichaa kmmk, nshawahi changanya na ulanzi na nyagi nikalewa siku tatu. Nilijifunza new fase ya kulamba michuzi.Dah!Safi sana.Mimi namuazimaga jirani yangu zile baiskeli zilizobandikwa stika za CCM niende nikasage kimera cha kupikia komoni.
What??Kuna vingi vya kuomba kabla hatujaomba magari.
Hustle + Sala zikikubali basi kimoja kati ya hivi viwili kisajiriwe kwa majina yangu yote matatu.
View attachment 3523214View attachment 3523215
Noma kinomanoma.Haukufukuzwa nyumbani kwako na mama-mtu?Huwa wanakereka sana ila hawajui kwa kutushtaki.Kitaalam tunaiita KIBUNZI. Huo mzigo unakichaa kmmk, nshawahi changanya na ulanzi na nyagi nikalewa siku tatu. Nilijifunza new fase ya kulamba michuzi.
Nilikua geto man alone, na ndo ilikua mara yangu ya kwanza kupiga KIBUNZI, Tulikua kwenye kigrocery flan huko Iringa vijijini(Nilienda kufata mzigo). Jamaa nilikua nae akawa anaipiga hyo nikaona ngoja nionje (nimezurula mikoa mingi sana na nnapenda kuonja pombe za asili). Nikaona tamu lakini haileweshi ndo nkaichanganya na bia na konyagi. Boss wangu asingekua amenizoea kwa muda mrefu nilikua nafukuzwa kazi walahi.Noma kinomanoma.Haukufukuzwa nyumbani kwako na mama-mtu?Huwa wanakereka sana ila hawajui kwa kutushtaki.
Kwa ufupi ulipiga kitu cocktail aka MBABASA.Nilikua geto man alone, na ndo ilikua mara yangu ya kwanza kupiga KIBUNZI, Tulikua kwenye kigrocery flan huko Iringa vijijini(Nilienda kufata mzigo). Jamaa nilikua nae akawa anaipiga hyo nikaona ngoja nionje (nimezurula mikoa mingi sana na nnapenda kuonja pombe za asili). Nikaona tamu lakini haileweshi ndo nkaichanganya na bia na konyagi. Boss wangu asingekua amenizoea kwa muda mrefu nilikua nafukuzwa kazi walahi.
2014 nakuendeleaYa mwaka gani? Q5 kubwa sana landa Q3. Ila wewe umetoka kwneye SUV sio mbaya.
Tesla ni mali swaafi vuta mkuu, tupige nayo picha.Kuna vingi vya kuomba kabla hatujaomba magari.
Hustle + Sala zikikubali basi kimoja kati ya hivi viwili kisajiriwe kwa majina yangu yote matatu.
View attachment 3523214View attachment 3523215
Yangu hii 😎Kuna vingi vya kuomba kabla hatujaomba magari.
Hustle + Sala zikikubali basi kimoja kati ya hivi viwili kisajiriwe kwa majina yangu yote matatu.
View attachment 3523214View attachment 3523215