gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,174
- 6,813
Labda waendelee na hii mbeleko ya corona.ila kwa mpira huu siwaoni wakitoboa zaidi ya quartel final.Unajiaminisha Jambo lisilo wezekana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Labda waendelee na hii mbeleko ya corona.ila kwa mpira huu siwaoni wakitoboa zaidi ya quartel final.Unajiaminisha Jambo lisilo wezekana
Ni wapemba walio changamkahivi hawa Comoros hata nyama si huwa wanakuja kununua Vingunguti hawa? 😅
Gambia si washapita mzee
Aboubakar analitafuta goli kwa nguvu sana
Kweli kila mtu na kazi yake, yaani golikipa wa Comoros anavyodaka ni vichekesho, unaona mwenyewe kama anajiuliza pale niliokoaje ule mpira.