Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,297
- Thread starter
- #1,421
Gabon wanaenda kupiga penati nyingine...wamepaishaaaaaa
Ngoma imekula nguzoGabon sasa...wamekosaaaaa tena
Burkina Faso wanaelekea robo fainali...ilikuwa mechi ya aina yake sanaBurkinabe wanapaswa washinde penati ya mwisho...wanapata🔥🔥🔥
Kwambinde sanaHatimaye Bokinabe tunafuzu
SanaaaaaaaaaKwambinde sana
Tupo wengi!Am happy for Burkinabe
Yaaah bado tupo sanaaaaaUpnext:
Nigeria Vs Tunisia