Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,296
- Thread starter
- #1,141
Mahrez anakosaaaaaa
Na penati ya mchongo wamekosaaaaHii ni zaidi ya kudhalilishwa. lol
Naiona dhahama kwa bingwa mtetezi.



Hii midfield ya Algeria utadhani ya Man utd
Sio kushinda tu nazani hawakufunga goli hata mojaAibu iliyoje, nakumbuka World Cup mwaka 2002, Ufaransa akiwa bingwa mtetezi wa taji alitolewa bila ya kushinda hata mechi moja, naona inajirudia huku Afcon
Mi namsubiri salah na mane kule liver, sasa man cty walivyo on fire bado mahrez anarudi aaaggghSasa mkuu kama hawana uwezo wabebwe?
Uko sahihi waliondoka na alama 1 tuSio kushinda tu nazani hawakufunga goli hata moja
MKuubleo umevurugwa!!😂😂Utasema Geita Gold
Mwanangu kama nakuona vile unavyosogea counter kusuuza koo na bia bariiiiidiLeo nibet single game nimewapa ivory cost 25000 wamepewa 3.10 nimeweka win kwao waarabu siwapendi wapigwe mbwa hao
Leo lazima mwarabu afe saa mbili nipate 75 ya bia the high the stake ...more money
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa yako mshauri aendelee kufatilia mechi za NBC Premier LeagueMimi sio mpenzi wa mpira ila nimeulizwa na Mualjeria mmoja leo kuwa hivi nyie mnajua uchawi?
Nikamuambia what do you mean
Akasema wameturoga kwenye mpira
Nilibaki kumuambia mimi sikuangalia mpira huo
Hahaha wameniuzi Algeria wanacheza kitoto sanaMKuubleo umevurugwa!!😂😂
Mazoea mabaya mkuuHahaha wameniuzi Algeria wanacheza kitoto sana