wanarudisha na mpira umekwishaTanesco wanakera sanaaaaaa
Labda ukoo wenu huko
Na ndo sababu ya kulia...hahaajSalaha alikua anaombea mane akose penalt, maisha sio poa
Dahh..poleni sana. Wapi hukoo!??wanarudisha na mpira umekwisha
Ulijuaje mkuuKwangu mimi huyu kipa ni mchezaji bora wa mechi

Yuko vyema...Mendy kabeba UCL na Afcon ndani ya muda mchache tu
Kizuri kinaonekana tu mkuuUlijuaje mkuu
jamaa anajua mpaka anajua tena!!
Tuombe uzima mkuuPamoja sana mkuu, hakika tumeenjoy kwa muda wote wa mashindano, tukutane Qatar kwenye World Cup
