adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Team Egypt hapa kutokea Cairo ya buza
كل التوفيق مصرHaya kila lenye mwanzo halikosi mwisho, safari yetu ya takribani wiki tatu na nusu inafikia tamati leo, ndiyo ni mchezo wa Fainali
Ni Senegal Vs Egypt, Saa 4:00 Usiku pale Olembe Stadium jijini Younde!
Ni Mane Vs Sala
Leo Senegal tunamaliza game dakika 90.