2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Refa amejaribu kuwa makini first half.

Timu zimecheza kwa kuheshimiana na nidhamu ya juu zaid japo hatari zilituelemea kidogo sisi Waarabu.

The end will decide.
 
Naona Mo Salah kawekewa Suma JKT watatu wakummark muda wote as if wameambiwa hajavaa soksi...!!
 
Kwa aina ya mchezo na jinsi Egypt wanavyocheza sitashangaa wakipata goli na kuibuka na ushindi
 
Back
Top Bottom