buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
WatfordHuyu Adam Masina huyu!!
WatfordHuyu Adam Masina huyu!!
Game onEGY 1-1 MAR
Sio poaWakuu kwema, naona waarabu wanakimbizana kwelikweli...
Hiyo ni kama fainali kwao....lazima mmoja atangulie nyumbaniWakuu kwema, naona waarabu wanakimbizana kwelikweli...
Uwanja umekuwa kama sehemu ya masumbwiWaarabu wanawezana wenyew asee
Hatar sana mkuuUwanja umekuwa kama sehemu ya masumbwi
😂😂😂Mtu anavuliwa bukta anabaki na boksa shikamoo derby hahaaa
Refa kaamua atumie busara