BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Timu Ivory Coast hapa....
Pole kamanda, karibu Morocco
Timu Ivory Coast hapa....
Waarabu hawa wana kitu cha tofauti sana na ss indigenous
Mbovu mno na imenichania mikeka leo sina hamu😂Game mbovu sana
Haina mvuto kabisaGame mbovu sana
Huyo amekariri....hata mimi niliwaambia bingwa atatokea hapa Morocco or Tunisia
Tulipe Muda mkuu. Ntakuja kuku-tag wakati ukifika
Waarabu wapo makini sana wanapocheza hatua muhimu za mtoano....mfano angalia vilabu vyao kwenye michuano ya Cacl.Nilishawaambia timu za NORTH zikifika hatua ya 16 bora wanafunguka vibaya mno, wanapeleka moto sio wa kawaida
Mimi ni shabiki wa Algeria, ikitoka naenda na Morocco.....huyo egypt asubiri kipigo kutoka kwa Milima ya atlas, tutampiga nyingi hutaamini.....
Morocco <>Tunisia, final
Morocco bingwa kamanda wangu
Waarabu wapo makini sana wanapocheza hatua muhimu za mtoano....mfano angalia vilabu vyao kwenye michuano ya Cacl.
.....Ivory coast wangekuwa makini wangeumaliza mchezo ndani ya dk 90 tu, kwa nguvu waliokuwa nayo mpaka kumuadhibu bingwa mtetezi wangetulia huenda wangetinga robo fainali.
Sitashangaa waarabu wakinyanyua hii ndoo.
We Ngoja Gambia Awe Bingwa Muanze KutafutanaSure kamanda wangu.. nnahakika kwa asilimia mia timu za NORTH zinatinga final, prediction yangu ni Morocco na Tunisia, Morocco bingwa![]()

We Ngoja Gambia Awe Bingwa Muanze Kutafutana![]()