2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hivi Tanzania Tulikuwa Tunapambana Kuja Huku ili Mfungaji wetu awe Bocco? Au Beki awe Kibwana Shomary au Kiungo Awe Feisal Toto? Bora hata hatukuja

Simba Iliwadanganya hadi Timu ya Taifa Kuwa Wangeweza Kupambana na Waarabu, Wa Nigeria

Simba Mungu Anawaonaaaa Kuwaaminisha wenzenu Ujinga
Nyuma ya Feisal kuna Dickson Job na Mzamiru, hapo wakina Sais na Hakimi lazima wapoteane.
 
Back
Top Bottom