uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Nawaza tu kwa mambo yanavyokwenda hata wakisusia haitakuwa na madhara maana watabakia wapinzani wawili tu 2020Habarini wanajamvi...
Kwa hali ilivyo sasa 2020 wapinzani wasusie uchuguzi maana hukuna mgombea wao atakayetangazwa kuwa mshindi hata kama ameshinda kihalali...
Hapo ndo patakapoanza vurugu na watu wengi kuumizwa na wengine kuuawa kabisa...
Nawasilisha...