2020 wapinzani wasusie uchaguzi mkuu

2020 wapinzani wasusie uchaguzi mkuu

Kutokana na yanayoendelea sasa, wapinzani wasishiriki tu chaguzi yoyote inayotokea yani mbunge au diwani akijiuzulu kumuunga mkono rais apitishwe tu direct hakuna haja ya uchaguzi pia hata 2020 wapinzani wote wasishiriki uchaguzi wadai tume huru ya uchaguzi au wawe na solution, yani HELA ZA KURUDIA UCHAGUZI ZIPO NA KUNUNUA NDEGE ILA KUWALIPA WAFANYAKAZI WALIOPANDISHWA VYEO NA WANAODAI AREAZ HAKUNA, haya ni maajabu ya tanzania tu
Ila yana mwisho haya hakuna aliye mkuu kuliko MUNGU alikuwepo farao na wafalme wengine jeuri mwisho wao uliishia wapi?
Yani inakera sana hasa ninapokumbuka kuwa uchàguzi unafanywa kwa KODI ZETU ambazo zingesaidia sekta nyingine za kimaendeleo.
"MUNGU AKAUFANYA MGUMU MOYO WA FARAO"
 
Na Kama chadema 2020 akishiriki uchaguzi kwa katiba hii, ntawaona Ni washenzi na mamluki wasiostahili kupewa hata udiwani...huu sio uchaguzi Ni uhuni...
Chadema isopo shiriki katika uchaguzi itakosa ushawishi....vyama vya upizani havina umoja wegi ni opportunists vingine vitaibuka ata kwa kuhongwa na CCM, bora kushiriki na huku anapambana mabadiliko yapatikane.....chadema ni tishio kubwa kwa CCM kama unavo ona CUF Zazibar, wakisusa uchaguzi basi CCM itafanya kama inavo taka.
 
Upo tz kweli na umefuatilia chaguzi za karibuni?
If yes, utajua kinachoendelea na hakuna haja ya uchaguzi wowote tena
 
Very true, upinzani Tz umekwisha, ni kelele tu ndio zimebaki.
 
Chadema isopo shiriki katika uchaguzi itakosa ushawishi....vyama vya upizani havina umoja wegi ni opportunists vingine vitaibuka ata kwa kuhongwa na CCM, bora kushiriki na huku anapambana mabadiliko yapatikane.....chadema ni tishio kubwa kwa CCM kama unavo ona CUF Zazibar, wakisusa uchaguzi basi CCM itafanya kama inavo taka.
Bora ccm ifanye inavyotaka lkn isionekane chadema imeshindwa kwa uchaguzi wa kihuni....
 
Tatizo watu wanoushi mjini mmewazoesha wazaziw huko vijijini ,tunapambana na maisha huko yenyewe inapigia kura Ccm alafu maisha yanatupiga na mwisho wa mwezi yanadai tuyape hela za matumizi.
 
Chadema isopo shiriki katika uchaguzi itakosa ushawishi....vyama vya upizani havina umoja wegi ni opportunists vingine vitaibuka ata kwa kuhongwa na CCM, bora kushiriki na huku anapambana mabadiliko yapatikane.....chadema ni tishio kubwa kwa CCM kama unavo ona CUF Zazibar, wakisusa uchaguzi basi CCM itafanya kama inavo taka.
We unaishi nchi gani, hii hii ya Jiwe!!!?
 
Hili ndyo jambo la mcngi, linalo takiwa kupiganiwa kwa sasa kama kweli wako serious.
Hili ni wazo mnakasha kabisa, naomba vyama vyote visishiriki uchaguzi wowote, maana agenda ya wenye Nchi ni kushinda chaguzi zote hata kama hawakubariki, kumbuka wameshika mpini hawa jamaa.
 
Very true, upinzani Tz umekwisha, ni kelele tu ndio zimebaki.
Unacheza na timu ambayo wachezaji wake wote 11 mmewafunga mawe ya kg 5 kila mmoja, bado refa ni wenu, kamisaa, harafu mnashangilia eti upinzani umekufa, Ccm haina Muda mrefu itafutika kwemye uso wa Dunia.
 
Na Kama chadema 2020 akishiriki uchaguzi kwa katiba hii, ntawaona Ni washenzi na mamluki wasiostahili kupewa hata udiwani...huu sio uchaguzi Ni uhuni...

Hivi unadhani kwa viongozi wa CDM kusamehe ruzuku ya kila mwezi, kiasi cha zaidi ya TZS 320 million, ni kazi nyepesi? Labda sio Mbowe!
 
Habarini wanajamvi...

Kwa hali ilivyo sasa 2020 wapinzani wasusie uchuguzi maana hukuna mgombea wao atakayetangazwa kuwa mshindi hata kama ameshinda kihalali...

Hapo ndo patakapoanza vurugu na watu wengi kuumizwa na wengine kuuawa kabisa...

Nawasilisha...

Kwa taarifa yako vyama vya upinzani havitosusia na havipaswi kususia. Ila sisi wapiga kura ndio tutasusia kuonyesha kwamba ccm haikubaliki. Na hiyo itachangia kuonyesha ccm inatawala bila ridhaa ya watu.
 
Bado wananafasi ya kuleta upinzani mkubwa tu kwa ccm; hususani katika ubunge na madiwani, ila urais wasahau. Ni maoni yangu tu, matusi sio kitu chema.
Rais wasahau! We Mungu? Umekalia akili zako.
 
wakisusa utabiri wa polepole utakuwa umetimia kwamba 2020 mtatitia mpira kwapani
 
Kususia Uchaguzi maana yake Mbowe asusie 326 M ya ruzuku kila mwezi kuanzia 2020
 
Mkuu hiyo siyo sahihi. Wacha tushiriki, tushinde na wao wachukue kwa nguvu. Hii itawaonesha ni kwa kiasi gani siasa zao haziungwi mkono. Wakijua hili wanaweza kubadili mwelekeo. La muhimu ujumbe uwafikie kwamba pamoja na hila na maguvu bado umma hauwungi mkono. Ikitokea hivyo.
 
Hivi unadhani kwa viongozi wa CDM kusamehe ruzuku ya kila mwezi, kiasi cha zaidi ya TZS 320 million, ni kazi nyepesi? Labda sio Mbowe!
We unavyofikiri au unavyoona uchaguzi unavyoendeshwa kihuni, mwaka 2020 Kuna mkurugenz anaweza kumtangaza hata diwani mmoja wa chadema....maana Ni afadhali iwe Kama zanzbr muwaache ccm wenyewe maana hata wakishiriki hakuna hata diwani acha mbunge wa upinzani atakayetangazwa kashinda....
 
Kususia Uchaguzi maana yake Mbowe asusie 326 M ya ruzuku kila mwezi kuanzia 2020
Na chadema wakishiriki uchaguzi 2020 kwa katiba hii.....utakuwa ndo mwisho wa chama kinachoitwa chadema, ccm wanaitafuta kweli hiyo nafasi yakuimaliza chadema akishiriki uchaguzi 2020....hapati hata diwani mmoja....Ili waitangazie dunia ccm wameshinda kihalali...
 
Back
Top Bottom