2020 twende na Membe ama January Makamba?

LONG MAY HE REIGN JPM WALAHI
 
 
Mwishowe Afanyiwe unyama Mmembe wa watu kisa Kampeni zenu hizi za Kijinga
 
JIWE Must Go, una roho ya kichawi sana wewe mzee hupendi kuona watu wanafanikiwa.
 
Mzee kapime presha mbona kama ipo juu?
 
Mmesahau hizi mbwembwe wakati wa MAMVI?
 
Vipi mkuu ulitaka kuingia na ile ID yako nyingine nini
 
Hatuna shida nae ila bashite aanze kutafuta hifadhi mataifa jirani.
Bashite tunampeleka akawe mwambata,Allepo,mogadishu,au Sanaa Yemen,hata kama hatuna ubalozi huko.sie wanadiplomasia wabobezi hata tukikuadhibu tunakuadhibu kidiplomatiki.
 
Makamba sidhani kama anatosha kwenye hyo Post Yenu mnayompa
 
Huo ndio upuuzi ambao hatuutaki nchi hii. Amfanyie unyama kisa nini? Kwasababu wananchi tumesema tunampenda?ataua wangapi sasa.
Mwishowe Afanyiwe unyama Mmembe wa watu kisa Kampeni zenu hizi za Kijinga
 
Upo mtoto...nakutafuta saana we mtoto wa CCM
 
Huo ndio upuuzi ambao hatuutaki nchi hii. Amfanyie unyama kisa nini? Kwasababu wananchi tumesema tunampenda?ataua wangapi sasa.
Kwani Muda Wa Kampeni umeshatangazwa na Tume ya Uchaguzi? Au sheria za Nchi hamzijui

Ni kosa ni sawa na Kutaka KuMpindua Raisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…