2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

Fafanue aise isije kuwa sijaelewa


Sasa Utakuwa umeelewa "such an irony", wewe ni "SUBJECTIVE"--- kutokana na hii kauli yako kwamba; "lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka---"

Swali je, akifa mtu wa karibu yako na unaye mpenda sana, neno "uzuri" wa kifo chake utalitumia !??
 
Back
Top Bottom