2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,031
3,911
Ndugu watanzania.tujiandae kisaikolojia

Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kwa nchi yetu.Mambo yafuatayo yatatokea:

  1. Watumishi wa umma watacheleweshewa mishahara mpaka miezi mitatu
  2. Sekta binafsi zitapunguza watu kwa zaidi ya 40%
  3. Sekta ya umma itapunguza watu kwa zaidi ya 15%
  4. Huduma za jamii hasa za elimu na afya zitazorota kwa kiwango kikubwa sana
  5. Zaidi ya 42% ya biashara zitafungwa hizi ni mbali ya zitakazopunguza wafanyakazi
  6. Kutakuwa na ukame katika 30% ya nchi
  7. Uzalishaji wa kilimo utashuka kwa 38%
  8. Sekta ya usafiri itazorota sana.
  9. Uhalifu utaongezeka kwa 25%
  10. Rushwa itaongezeka kwa 34%
  11. Miradi mingi itakwama kutokana na kukosekana kwa Pesa
  12. Makusanyo ya kodi yatashuka kwa 12%
  13. Misaada kutoka nje itashuka kwa 28%
  14. Kiwango cha ukosefu wa ajira kitapanda kwa 60%
  15. Kiwango cha utegemezi kitapanda kwa 110%
  16. Uhamaji wa watu kwende vijijini utaongezeka kwa 14%
  17. Mfumuko wa bei utaongezeka kwa 40%
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana

Kama unabisha fuatilia takwimu rasmi za BS uzisome uache kufuatilia takwimu uchwara

Tufanyeje?
 
Wewe nimpinga ramuli, au wewe nimlokole kwasababu nyie hamkawi kusema Bwana ka kuonyesha kwenye ndoto......
 
Mwaka huu tuu nimekutana na mapigo magumu mengine ad sasa yamebakia akilini na yanautesa moyo..

Eee MUNGU Baba utunusuru!
 
Watakufa kwanza wanao, na ndugu zako alafu na wewe utakufa kabla ya mwezi wa tatu 2019
Amin amin na amin
Nabii wa uwongo ni lazima apigwe mawe mpaka afe!
Nawe nchi hii itakupiga mpaka upate mauti!
 
Hatutakufa Bali tutaishi..hayo uliyoyaandika yakurudie wewe mwenyewe Na familia yako

Umenena yaliyo kweli
Unabii lazima ushuhudiwe na watu Zaidi ya wawili
Mleta uzi atazika wanawe na ndugu zake naye atakufa kabla ya mwezi wa tatu 2019
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom