2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

2019 utakuwa mwaka Mgumu sana?

your wishful thinking😕😕😕

dua la kuku halimpati mwewe.

mtasubiri sana.

mnapokuwa mnawaza mawazo yenu haya mabaya msisahau kuwa Mungu yupo.

Waache hao wafu wanazidi kuangamia kila siku
 
u
Ndugu watanzania.tujiandae kisaikolojia

Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kwa nchi yetu.Mambo yafuatayo yatatokea:

  1. Watumishi wa umma watacheleweshewa mishahara mpaka miezi mitatu
  2. Sekta binafsi zitapunguza watu kwa zaidi ya 40%
  3. Sekta ya umma itapunguza watu kwa zaidi ya 15%
  4. Huduma za jamii hasa za elimu na afya zitazorota kwa kiwango kikubwa sana
  5. Zaidi ya 42% ya biashara zitafungwa hizi ni mbali ya zitakazopunguza wafanyakazi
  6. Kutakuwa na ukame katika 30% ya nchi
  7. Uzalishaji wa kilimo utashuka kwa 38%
  8. Sekta ya usafiri itazorota sana.
  9. Uhalifu utaongezeka kwa 25%
  10. Rushwa itaongezeka kwa 34%
  11. Miradi mingi itakwama kutokana na kukosekana kwa Pesa
  12. Makusanyo ya kodi yatashuka kwa 12%
  13. Misaada kutoka nje itashuka kwa 28%
  14. Kiwango cha ukosefu wa ajira kitapanda kwa 60%
  15. Kiwango cha utegemezi kitapanda kwa 110%
  16. Uhamaji wa watu kwende vijijini utaongezeka kwa 14%
  17. Mfumuko wa bei utaongezeka kwa 40%
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana

Kama unabisha fuatilia takwimu rasmi za BS uzisome uache kufuatilia takwimu uchwara

Tufanyeje?
umesahau kubet kutaongezeka kwa 40%
 
Alishatabiri Nabii Bushiri wa South Africa uchumi utakufa kujitokeza wasiojulikana na yametimia
 
Kwa hali iliyopo sasa kiuchumi hiyo ndiyo trend yake but I ain't sure with the percentage levels.
Deficit, deficit, deficit
 
Ndugu watanzania.tujiandae kisaikolojia

Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kwa nchi yetu.Mambo yafuatayo yatatokea:

  1. Watumishi wa umma watacheleweshewa mishahara mpaka miezi mitatu
  2. Sekta binafsi zitapunguza watu kwa zaidi ya 40%
  3. Sekta ya umma itapunguza watu kwa zaidi ya 15%
  4. Huduma za jamii hasa za elimu na afya zitazorota kwa kiwango kikubwa sana
  5. Zaidi ya 42% ya biashara zitafungwa hizi ni mbali ya zitakazopunguza wafanyakazi
  6. Kutakuwa na ukame katika 30% ya nchi
  7. Uzalishaji wa kilimo utashuka kwa 38%
  8. Sekta ya usafiri itazorota sana.
  9. Uhalifu utaongezeka kwa 25%
  10. Rushwa itaongezeka kwa 34%
  11. Miradi mingi itakwama kutokana na kukosekana kwa Pesa
  12. Makusanyo ya kodi yatashuka kwa 12%
  13. Misaada kutoka nje itashuka kwa 28%
  14. Kiwango cha ukosefu wa ajira kitapanda kwa 60%
  15. Kiwango cha utegemezi kitapanda kwa 110%
  16. Uhamaji wa watu kwende vijijini utaongezeka kwa 14%
  17. Mfumuko wa bei utaongezeka kwa 40%
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana

Kama unabisha fuatilia takwimu rasmi za BS uzisome uache kufuatilia takwimu uchwara

Tufanyeje?
Acha kutisha watu wewe!
Burundi hawana bandari, ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo, ukosefu wa utulivu kisiasa na amani, vikwazo vya kiuchumi na silaha; mbona wame-survive tangu 2015 hadi leo hii na wapo?
 
Zote sawa isipokuwa na 6
 
Watakufa kwanza wanao, na ndugu zako alafu na wewe utakufa kabla ya mwezi wa tatu 2019
Amin amin na amin
Nabii wa uwongo ni lazima apigwe mawe mpaka afe!
Nawe nchi hii itakupiga mpaka upate mauti!
Kudadeki..ahahahahahahha.
E bwana hii ni zaid hatarii
 
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana
Watu wakijua kutumia takwimu hivi na 'ukweli unaosimamiwa na ushahidi' kama ulivyofanya wewe, tutapiga hatua sana.
Ila umechemka kwenye mstari huo niliou'quote' hapo juu. Hukuweka takwimu kwenye "kiwango cha kufa kitaongezeka kwa asilimia" ngapi?; na ukasahau kabisa kuweka 'ukweli wa ushahidi' kuhusu tukio hilo.

Basi ngoja mimi nikusaidie: Kiwango cha kufa kitaongezeka kwa asilimia 30; matokeo ya tukio hili ni kwamba hao watakaokuwa wameepuka kifo akili zitawarudia aslimia 50, na hapo ndipo Tanzania mpya itajitokeza kwa nguvu na "HapaKazi Tu" mpya yenye uhakika itazaliwa. Tanzania yetu itasonga mbele kwa kasi mithili ya yule Mjamaica!
 
Ndugu watanzania.tujiandae kisaikolojia

Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kwa nchi yetu.Mambo yafuatayo yatatokea:

  1. Watumishi wa umma watacheleweshewa mishahara mpaka miezi mitatu
  2. Sekta binafsi zitapunguza watu kwa zaidi ya 40%
  3. Sekta ya umma itapunguza watu kwa zaidi ya 15%
  4. Huduma za jamii hasa za elimu na afya zitazorota kwa kiwango kikubwa sana
  5. Zaidi ya 42% ya biashara zitafungwa hizi ni mbali ya zitakazopunguza wafanyakazi
  6. Kutakuwa na ukame katika 30% ya nchi
  7. Uzalishaji wa kilimo utashuka kwa 38%
  8. Sekta ya usafiri itazorota sana.
  9. Uhalifu utaongezeka kwa 25%
  10. Rushwa itaongezeka kwa 34%
  11. Miradi mingi itakwama kutokana na kukosekana kwa Pesa
  12. Makusanyo ya kodi yatashuka kwa 12%
  13. Misaada kutoka nje itashuka kwa 28%
  14. Kiwango cha ukosefu wa ajira kitapanda kwa 60%
  15. Kiwango cha utegemezi kitapanda kwa 110%
  16. Uhamaji wa watu kwende vijijini utaongezeka kwa 14%
  17. Mfumuko wa bei utaongezeka kwa 40%
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana

Kama unabisha fuatilia takwimu rasmi za BS uzisome uache kufuatilia takwimu uchwara

Tufanyeje?
Ukiwa na akili timamu na ikajua kuinterract ubongo wako na nyakati tulizonazo kwa faida yako ya badae huwezi kubeza utabiri huu, sio lazima utimie kwa asilimia 100, lakini mengi ya haya yatatokea. Kutakuwa na ugum wa maisha kupita kiasi.
 
Hakuna mwaka mzuri wa kuwa tajiri kama mwaka wenye vitisho hivyo unavyosema. Twende pamoja.
1. Uuzwaji wa majeneza, kama watu watakufa sana biashara itakayofaa ni kuuza majeneza, mbao, maua ya kupamba msibani. Mc msibani, magari ya kusafirisha msiba. Hata ukishindwa yote hata kibarua cha kuchimba shimo la kuzika.

2. Kuuza nafaka kwa bei nzuri. Kwa sasa ni kuweka stock yakutosha ili kukabiliana na upungufu wa chakula na kuuza kwa bei nzuri.
3.
4.
Kwa ufupi zote ulizoandika ni fursa kwangu acha zitokee tu ili na mm niwe billionea. Wewe unayewaza kufa kufa tu
 
Acha kutisha watu wewe!
Burundi hawana bandari, ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo, ukosefu wa utulivu kisiasa na amani, vikwazo vya kiuchumi na silaha; mbona wame-survive tangu 2015 hadi leo hii na wapo?
Loo, hii ndio mifano yetu tunayoanza kujilinganisha nayo? Basi nakubaliana nawe kuwa tusiwe na wasiwasi wowote na taifa letu linakokwenda. Tuta'survive' kama Burundi na kwingineko,(usisahau Sudan Kusini), wanavyopeta.
 
Ndugu watanzania.tujiandae kisaikolojia

Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kwa nchi yetu.Mambo yafuatayo yatatokea:

  1. Watumishi wa umma watacheleweshewa mishahara mpaka miezi mitatu
  2. Sekta binafsi zitapunguza watu kwa zaidi ya 40%
  3. Sekta ya umma itapunguza watu kwa zaidi ya 15%
  4. Huduma za jamii hasa za elimu na afya zitazorota kwa kiwango kikubwa sana
  5. Zaidi ya 42% ya biashara zitafungwa hizi ni mbali ya zitakazopunguza wafanyakazi
  6. Kutakuwa na ukame katika 30% ya nchi
  7. Uzalishaji wa kilimo utashuka kwa 38%
  8. Sekta ya usafiri itazorota sana.
  9. Uhalifu utaongezeka kwa 25%
  10. Rushwa itaongezeka kwa 34%
  11. Miradi mingi itakwama kutokana na kukosekana kwa Pesa
  12. Makusanyo ya kodi yatashuka kwa 12%
  13. Misaada kutoka nje itashuka kwa 28%
  14. Kiwango cha ukosefu wa ajira kitapanda kwa 60%
  15. Kiwango cha utegemezi kitapanda kwa 110%
  16. Uhamaji wa watu kwende vijijini utaongezeka kwa 14%
  17. Mfumuko wa bei utaongezeka kwa 40%
Lakini uzuri ni kwamba kiwango cha kufa kitaongezeka Pia so watapungua watu wengi sana

Kama unabisha fuatilia takwimu rasmi za BS uzisome uache kufuatilia takwimu uchwara

Tufanyeje?

Mkuu, nimesoma huo uchambuzi wako na nimegundua kwamba wewe ni "OBJECTIVE".
 
Hakuna mwaka mzuri wa kuwa tajiri kama mwaka wenye vitisho hivyo unavyosema. Twende pamoja.
1. Uuzwaji wa majeneza, kama watu watakufa sana biashara itakayofaa ni kuuza majeneza, mbao, maua ya kupamba msibani. Mc msibani, magari ya kusafirisha msiba. Hata ukishindwa yote hata kibarua cha kuchimba shimo la kuzika.

2. Kuuza nafaka kwa bei nzuri. Kwa sasa ni kuweka stock yakutosha ili kukabiliana na upungufu wa chakula na kuuza kwa bei nzuri.
3.
4.
Kwa ufupi zote ulizoandika ni fursa kwangu acha zitokee tu ili na mm niwe billionea. Wewe unayewaza kufa kufa tu

Mkuu, lini utamnunulia nguo huyo jamaa kwenye Avatar yako, anatia aibu!!, hata nguo ya mtumba kakosa?!!😁😁😁
 
Nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabay....kwamaana wewe Bwana Mungu u pamoja nami
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
LAKINI
Nitakaa nyumbani mwa bwana milele
 
your wishful thinking😕😕😕

dua la kuku halimpati mwewe.

mtasubiri sana.

mnapokuwa mnawaza mawazo yenu haya mabaya msisahau kuwa Mungu yupo.
Kwahiyo unadhani Mungu yupo kwenu tu? Mnayowatendea wengine mnadhani Mungu haoni?
Tafadhali
Usiingize suala la ushoga hapa.
 
Back
Top Bottom