Si kweli hiyo haipo ilishaondolewa zamani sana, kamari za namna hiyo zimebakia kwenye uamuzi wa aina tatu tu kuchagua upande wa goli mtakapoanzia mechi na kwenye penat pamoja na upangaji wa magrupu basi.Hahahahhah. Hakuna mechi kuchezwa baina yao. Uamuzi wa mwisho huwa ni kufanya draw kama wanavyofanyaga kwenye kupanga groups.
.....Wanatekeleza ilani
Hiyo ni huko Tanzania. CAF huo muda haupo wa kuchezesha team kisa kupata nafasi ya best loser. Soma acha kutumia sijui Tanzania walivyompata nani ashuke daraja. CAF option ya mwisho ni draw.Atakaeokotwa ndo huyo huyo. By the way hizo sheria zilizopo juu lazima huwa team inapatikatana kabla hata ya kufika kwenye "tirage au sort ".Si kweli hiyo haipo ilishaondolewa zamani sana, kamari za namna hiyo zimebakia kwenye uamuzi wa aina tatu tu kuchagua upande wa goli mtakapoanzia mechi na kwenye penat pamoja na upangaji wa magrupu basi.
Nakupa mfano halisi ili uelewe Stand united kabla haijashushwa daraja ilishushwa Kagera sugar kwa kigezo cha h2h ingetokea wamefanana kila kitu ingepigwa mechi baina yao na hizi ndizo sheria za CAF zinazo kuwa adopted na washirika (wanachama wake)
Sasa ikitokea mmoja wa wanaotafuta nafasi ya best loser wamelingana kila kitu kitapigwa kipute kati yao na hakuna kamari itakayochezwa
Tuachane na soka tu..Tanzania 0 - 3 Algeria | Kenya 0 - 3 Senegal,hicho ndio kiwango chetu...
Mmefungwa ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].cute b umelala amkaaa
Tupo airport tunarudi; na kiongozi wetu wa msafara.Mmefungwa ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jana nilikuwa nimechoka duuh
Kiongozi anasemaje? Mmefanya kama venye CCM inavyoshindaga siyo?Tupo airport tunarudi; na kiongozi wetu wa msafara.
Chama kimeingia lawamani, tumeshindwa itekeleza ilani ipasavyo.
Hakuna kitu kama hicho wewe mwanamke usiwe mbishi.Hiyo ni huko Tanzania. CAF huo muda haupo wa kuchezesha team kisa kupata nafasi ya best loser. Soma acha kutumia sijui Tanzania walivyompata nani ashuke daraja. CAF option ya mwisho ni draw.Atakaeokotwa ndo huyo huyo. By the way hizo sheria zilizopo juu lazima huwa team inapatikatana kabla hata ya kufika kwenye "tirage au sort ".
Hujui mpira. Acha nikuache. Soma sheria za CAF kwa kutafuta best losers. Hakuna ya kukutana face to face. Jana umetuambia Benin anaongoza best losers. Naona unatuatilia sana story za vijiweni.Hakuna kitu kama hicho wewe mwanamke usiwe mbishi.
Na hii si Tanzania tu ni dunia nzima, Sheria zimebadirikia kinachofanywa na FIFA ndicho kitafanywa na CAF, CONCAF,UEFA na yeyote.
Sasa hivi kuna sheria mpya ya mchezaji kutokea popote, unajifanya mjuaji kwenye vitu usivyovijua
La Benin nilikosea kweli na nikajisahihisha baada ya kuona table ya group lao, na sikukwambia wewe ni shobo zako ndizo zilifanya uni_quote na sio jambo baya.Hujui mpira. Acha nikuache. Soma sheria za CAF kwa kutafuta best losers. Hakuna ya kukutana face to face. Jana umetuambia Benin anaongoza best losers. Naona unatuatilia sana story za vijiweni.
Inabidi iwe hivyo ili mkeka wangu uwe salama Angola anapaswa kufa mapema sanaCameroon hana squad ya kumfunga Benin.
Na Angola anakufa kwa Mali mapemaa
Angola anapigwa, afe kipa afe beki wanacheza mpira wa kujilinda sana sasa huu mchezo ni hatari unapokutana na wachezaji wenye kasi na skills za hali ya juu kama Mali.Inabidi iwe hivyo ili mkeka wangu uwe salama Angola anapaswa kufa mapema sana
Angola anapigwa, afe kipa afe beki wanacheza mpira wa kujilinda sana sasa huu mchezo ni hatari unapokutana na wachezaji wenye kasi na skills za hali ya juu kama Mali.
Pale unapojiona unajua,kumbe hujui kama hujui..La Benin nilikosea kweli na nikajisahihisha baada ya kuona table ya group lao, na sikukwambia wewe ni shobo zako ndizo zilifanya uni_quote na sio jambo baya.
Ila kwenye hili la kuchezesha kamari ili kumpata best loser HALIPO NARUDIA TENA HALIPO mjinga wewe unakomalia kitu ambacho hakipo.
Kamari haitumiki kumpata nani aendelee na nank asiendelee jinga wewe, yani mimi nisijue mpira kushinda wewe nina leseni ya Ukocha niliyoipata kutoka kwenye mafunzo ya mwl kashasha 2016 uwanja wa Taifa shubahamit
Ninajua na najijua kama ninajua kuanzia kuucheza hadi kuufundisha.Pale unapojiona unajua,kumbe hujui kama hujui..
Ninajua na najijua kama ninajua kuanzia kuucheza hadi kuufundisha.
Mpaka sheria zote nazijua
Tatizo ulilonalo ni ubishi, Gambling haipo tena kwenye kutafuta mshindi na nimekwambia toka awali na CAF wameanza kutumia hii kuanzia 2017 AFCON.
Inawezekana walihongwa kama walivyohongwa waganda hadi wakatubeba tuweze kufuzuWalituhurumia siku hiyo kutupiga mbili