mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,729
Wajinga hao wanaleta siasa kwenye mpiraYaani we mbarika ni mbarika kwelikweli. Kama nakuona kwenye avator yako. Ila Mungu anakuona japo kwa upande wangu mkeka uko salama na mhindi ashaliwa.
Nipo hapa Denmark nakula vitu vyangu huku wacheka kwa zarau tuu