2018 - 2020 World Happiness report: Burundi ina furaha kuliko Tanzania

Wazee wa gubu

Mkapa mbayaaaaa, mwinyi mbayaaaaa, Jakaya mbayaaaaa, magufuli mbayaaaaa, Samia mbayaaaaa

Hamna Jema,

Lakini dunia hii aisee

Tuna Tanzania mbili, the real, and the utopic one , ya utopia iko online Republic
 
Furaha ina maana gani kwa mujibu wa ripoti hiyo?
Achaneni na hizi ripoti za kupima furaha. Mimi nadhani hazina ukweli wowote. Nchi za Scandinavia nazijua in out. Na Tanzania naijua in out. Watanzania wana furaha kuliko hao wazungu. Trust me. Furaha ni zaidi ya kuwa na nyumba nzuri, usafiri na chakula.
 
Hizi propaganda ni mbpvu hazisaidii. Tupo na tunaishi na furaha, tumeridhika.

Na kesho tunakula pilau letu na bia then tunalala..
 
Nimeshangaa sana hiyo ripoti.
Watanzania Sisi hata kama tunapata kidogo lakini kwetu tunakifurahia siku zinaenda,
Pia mizaha yetu hii kwenye mitandao inafanya siku zinaenda huku tukifurahi
Mfano kina mzee mpili na wenzie wanatusogezea siku na kufanya tusahau shida
Nihame bongo niende wapi?
 
Wazee wa gubu

Mkapa mbayaaaaa, mwinyi mbayaaaaa, Jakaya mbayaaaaa, magufuli mbayaaaaa, Samia mbayaaaaa

Hamna Jema,

Lakini dunia hii aisee

Tuna Tanzania mbili, the real, and the utopic one , ya utopia iko online Republic
Badala ya kujibu swali langu umekimbilia kwenye porojo.Hiki ni kipimo tosha cha uwezo wako hafifu wa kujibu hoja.

Kwa nini unalazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha?Ni unajivisha upofu?Ni unajivisha ukiziwi?Ni unajilazimishia kuwa wewe ni tahira?Ni unajilazimishia kuwa wewe ni hamnazo?
 
 
MBONA RWANDA WAKO VIZURI KILA KITU INAKUWAJE AHWANA FURAHA
 
Ripoti inafurahisha, kwamba Yemen, Syria, Cuba nk wanafuraha zaidi yetu.

Nafikiri mataifa ya wenye furaha ni yasiyofuatilia ya chumbani.

Bahati nzuri mama kaainisha, kipaumbele chake ni kujenga uchumi. Mnaotaka katiba mpya mtasubiri sana...
 
MBONA RWANDA WAKO VIZURI KILA KITU INAKUWAJE AHWANA FURAHA
Rwanda hawapo vizuri kwenye kila kitu.Rwanda wanawekeza katika maendeleo ya vitu badala ya kuwekeza katika maendeleo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…