TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
Wazee wa gubuSasa unataka kulazimisha kuwa nchi kama hii ina furaha?View attachment 1861014
Badala ya kuficha ujinga wako kwa kukwepa kuchangia mada unajitokeza waziwazi kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?Ujinga ni sifa hadi ujitokeze hadharani kujitangaza kuwa wewe ni mjinga?WTF!!!
Nakushauri siku nyingine bakia huko huko mafichoni ili kuficha ujinga wako.
Mkapa mbayaaaaa, mwinyi mbayaaaaa, Jakaya mbayaaaaa, magufuli mbayaaaaa, Samia mbayaaaaa
Hamna Jema,
Lakini dunia hii aisee
Tuna Tanzania mbili, the real, and the utopic one , ya utopia iko online Republic