wavuta bangi watatu waliona ndege ikipita. Mmoja akasema, "ile ndege ni ya Obama ile...hivi sasa yaelekea Marekani." Wa pili akasema, "la hasha...hio si ya Obama. Hii ndege ni ya Kibaki. Si waziona hizo rangi za bendera ya Kenya?"
Basi, wa tatu akawaambia, "wallahi nyi wote machizi freshi. Vipi itakuaje hizo ndege ni za Obama ama Kibaki? Mi sidhani kama ni zao kabisaa!"
"kwanini?" wale wawili wakamuuliza kwa pamoja.
Akawajibu, "sababu kama ni zao, tungeona pikipiki zikiwa mbele.
Jamaa alikuwa na girlfriends watatu,akaanza kuwaza amwoe yupi kati ya hao.
akawapa kila mmoja milion 5 ili aone kila mtu ataitumiaje.
Girlfriend wa kwanza akaenda supermarket akanunua nguo,viatu,mikufu ya kila aina,
akaingia saloon kutengeneza nywele,halafu akarudi kwa jamaa na kumwambia
nimenunua hivi vyote ili nipendeze ili unipende daima.
Girlfriend wa pili akarudi akiwa amenunua,tv,redio,cd & dvd player,meza na viti,
halafu akampa mshikaji ili watumie kwa maisha yao wakioana.
Girlfriend watatu akafanya biashara ndogo ndogo ile hela ikarudi mara mbili,
akafungua duka na kumrudishia jamaa million 5 yake,akamwambia million 5 hiyo
ikusaidie na hii itakuwa duka letu.
Cha kushangaza ktk uamuzi wake jamaa akaamua kumwoa mwenye chuchu na makalio makubwa.