Mkuu [HASHTAG]#pdiddy[/HASHTAG] tutulie dawa iingie tushaambiwa uchumi umekua bila shaka umekua kwenda chini!Kwa nilioyaona mwaka huu, hadi wafanyakazi wa kampuni za Bia walianza kuonja viroba.
Najiuliza na kuwaza mwakani kutakuwaje kama hali ndio hii!
Tutarajie ongezeko kubwa kwenye hili.