2017: Tutarajie ongezeko kubwa la wanywa viroba nchini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
Kwa nilioyaona mwaka huu, hadi wafanyakazi wa kampuni za Bia walianza kuonja viroba.

Najiuliza na kuwaza mwakani kutakuwaje kama hali ndio hii!

Tutarajie ongezeko kubwa kwenye hili.
 
Usishangae na kampuni nyingine za bia kma safari wakaanza kuzalisha viroba
 
Kwa nilioyaona mwaka huu, hadi wafanyakazi wa kampuni za Bia walianza kuonja viroba.

Najiuliza na kuwaza mwakani kutakuwaje kama hali ndio hii!

Tutarajie ongezeko kubwa kwenye hili.
Mkuu [HASHTAG]#pdiddy[/HASHTAG] tutulie dawa iingie tushaambiwa uchumi umekua bila shaka umekua kwenda chini!
 
Mpwa umefikiria kweli kweli maana viwanda vya viroba vinazidi kuota kama uyoga
NAKWAMBIA KILA KONA

KINGINE HIKO WAKO NJIANI KUFUNGUA KAMA SIO MARCH APRIL WANATOKEA UGANDA HUKUKWAO WANAUZA 500 YAUGANDA SAWA NA 300..
 

Attachments

  • IMG-20161231-WA0004.jpeg
    IMG-20161231-WA0004.jpeg
    93.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom