Upo sahihi tuu hapo mkuu Donald alijibu vzri na direct way kuliko HillaryI'm not opposing that Hillary meant to compliment him, what I'm saying is there is a difference between their answers and that Trump's answer seemed more genuine and came off better. Why are you making me defend such a deplorable person? 😉
It has many things to do with CNN
Sasa wansema who did better tha your expectations 63% Trump na 39% Clinton ,yet Trump ana score 34 ina maana watu waki expect atapata 10,or 8%!!! Halafu wanakubali kuwa sample ili lean kwa democrats. Yaan sja waelewa hawa jamaa, Clinton News Network
Their maths didnt add up
Paul Ryan said he won't defend Donald Trump
http://www.cnn.com/2016/10/10/polit...-wont-defend-donald-trump/index.html?adkey=bn
Ukisoma ulichoandika hapa jibu lako lipo hapa kwenye ulichoandika lakini kama huwezi kuelewa ulichoandika basi hata hesabu zao za kuhitimisha kwamba Hillary kashinda huwezi kuelewa. Exceeding viewers expectations has nothing to do with winning the debate.
Ukipiga hesabu maanake viewers wali expect Trump a perform less tha 10% haija wahi tokea debate yoyote hiyo, unajua what it takes mtu akapata less tha 10% kwenye one on one debate!!?,ndo maana nika kwambia hesabu zao haziji, tatizo hujaangalia namba umeangalia maneno hebu soma kwa makini, sample yao ilikuwa na shida
Naona Trump kamfika Ryan kwenye koo...
Kama anamkacha mgombea it means he's not supporting his campaign too.
Lakini BAK, what's the meaning of this overall, is he giving up on his party nominee on the GE?!, na tena kasema anataka ku focus kwingine so they can at least retain the house, am afraid ameona mbali...
Hata siyo kaz, CNN walichemka tuuDah! Kazi kweli kweli!
Wewe huna uelewa wowote mkubwa wa kuniambia nna uelewa finyu, halaf weww mwenyewe usha jidharilisha sana tu mbona au hujioni!!?Acha kujidhalilisha mbele ya kadamnasi, uelewa wako ni finyu ndiyo sababu huelewi kilichoandikwa ambacho kiko wazi kabisa.
Mkuu BAK achana na huyo,vitu vingine ni kichekesho tu,pale mtu anapojifanya yeye ni muelewa zaidi ya Chombo kikubwa cha Habari kinachotazamwa karibu Dunia nzima.Hapo juu kui kamwekea na sources nyingine za Polls mbali ya CNN lakini anajifanya haioni hiyo post,yuko busy kubishana na polls za CNN.Acha kujidhalilisha mbele ya kadamnasi, uelewa wako ni finyu ndiyo sababu huelewi kilichoandikwa ambacho kiko wazi kabisa.
Yup...Kerry swept W.Hata John Kerry alishinda debates zote lakini the Texas Cowboy akashinda urais
Ila ile video ya kwenye basi aisee nkasema huyu jamaa serious anataka aiongoze hii nchi eti anasema ni locker room talk aisee nayule mtangazaji nae famba sasa alikuwa anamsapoti vipi trump ila ngojeni video zake zitakuja kuleack hapo mwishoni ilikujaa kuzidi kumpunguzia wapiga kura
Huyo mama ni yeye alimfuata upande wa trump so hapo trump hana kosa na ukiangalia vizuri trump hakuenda upande wa Clinton debate yoteee!Huyu mtu ana matatizo na wanawake.
View attachment 417079
Trump's body language during debate raises social media eyebrows.~nbc