2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Ndio maana anasema nchi ya Iraq na Mosul wakati Mosul iko ndani ya Iraq. International affairs kwa Trump ni 0. Ndio wale wakusema Africa ni nchi.
 
Swali jepesi kabisa..je utaweza kuwa rais wa wote?..badala ya kujibu swali anaunganisha maneno maneno tu..huyu trump huyu?!!
 

Hilo halina mashiko kabisa.

Kuna magavana wa kutosha ambao wamewahi kuwa marais bila ya kuwa na tajiriba kubwa ya mambo ya nchi za nje.

Hata Obama hakuwa na tajiriba kubwa kivile ya mambo ya nchi za nje achilia mbali tajiriba tu kwa ujumla.

Pia, George H. W. Bush alikuwa na tajiriba kubwa sana ya mambo ya nchi za nje lakini akaja kushindwa na Bill Clinton ambaye hakuwa na tajiriba inayofikia hata robo ya alokuwa nayo Bush.

Hapo nimekupa facts tu, hakuna ushabiki.
 
Hakustahili kufika huku Mkuu. Kauli zake za kibaguzi kwa maracists wenzie ndiyo zilizompa ujiko kufika huku. Hana sifa hata chembe ya kuingia WH ni mtu hatari sana si kwa US tu bali dunia yote.

 
Hillary ameulizwa zaidi ya mara mbili kuwa atafanya nini Syria na Iraq tofauti na anayoyafanya Obama,ameishia kutaja yale ya Obama!!
 
Are y'all catching what Trump is trying to do? At least three times now he actually has complained that the moderator is being unfair, even though they were not. In my opinion he is trying to paint a picture to the viewers that he is being persecuted, he is really angling for this bunker mentality thing to shore up support and divert attention from his awful comments.
 


Yeah, I've noticed the whining.
 
Trump anaua kwa style ya goli la jioni sasa. America is divided. ......hahahaaa!
 
Reactions: BAK
Lol! Hahahahaha did you hear about TRUMP EFFECT from Hillary's mouth!? Lol! πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Teh!, 'DEBATE EFFECT' πŸ™‚
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…