Na, chakushangaza Trump hata kamtaja kwenye apology statement yake, sijui Bill wa nini zaidi ya kupunguza uzito wa message yake ambayo ni most important for him in the middle of this storm.
Na kesho kwenye debate I bet he's going to yell Bill Clinton most part of it.
Mfa maji haishi kutapatapa, by the way wikileaks ' October surprise about Hillary is out but so far the reaction is very mild. Maybe it'll catch fire in coming days.
May be in the coming days, If, what's going on right now won't completely kill it.
You're 110% right na pia idadi ya Republicans wanaomshinikiza Trump ajiondoe kama mgombea inazidi kuongezeka wa hivi karibuni ni Condoleeza Rice. Hata waongezeke kiasi gani huyu jamaa hatajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuingia WH.
Republicans heavyweights are distancing themselves from him left right and center.
Nimeona McCain nae nje.
Halafu jamaa kagoma ku drop out.
Republicans heavyweights are distancing themselves from him left right and center.
Nimeona McCain nae nje.
Halafu jamaa kagoma ku drop out.
Wakuu kui na BAK kiaje?
Hii sasa ni battle na Trump atapigana hadi mwisho.
Majimbo yafuatayo yanaelezewa kwamba ndiyo yataamua nani anakuwa raisi:
Florida, Ohio, North Carolina, Pennsylvania, Virginia, Michigan, Wisconsin, New Hampshire na Iowa.
Wakuu kui na BAK kiaje?
Hii sasa ni battle na Trump atapigana hadi mwisho.
Majimbo yafuatayo yanaelezewa kwamba ndiyo yataamua nani anakuwa raisi:
Florida, Ohio, North Carolina, Pennsylvania, Virginia, Michigan, Wisconsin, New Hampshire na Iowa.
Ameishasema he'll never withdraw.
Pouwa Richard.
Lakini Hillary alirudi kuongoza kwenye polls after the first debate in most of them. Florida, Ohio, N.C, NH and I think Iowa.
Trump anapigana na hili zengwe kweli but the end doesn't look good for him.
Huyo ndiye DT watapiga kelele wawezavyo, wamekumbuka shuka wakati kunakucha. Walistahili kumpiga vita huyu kwa nguvu zote mwanzoni kabisa kwenye primaries sasa imekula kwao.
Nadhani na hii idadi ya wanaomshinikiza ajitoe inazidi kuwa kubwa kwa kutilia maanani kwamba uwezekano wa yeye kushinda ni finyu mno! Hivyo wanataka Mike Pence ndiye awe mgombea. Na baadhi wameshatoa kauli ya kupinga kumpa funds za GOP kugharamia kampeni yake katika hizi wiki nne zilizobaki.
Wakuu hivi Donald atahimili hili shinikizo la kuondoka ingawa anatia ngumu? Kwa kweli hii ya leo imeaibisha sana.
Donald ametia ngumu mkuu. Halafu Jamaa anamatusi yale ya nguoni.