...hehehe, huyu ndo the Donald. πππ
Trump kwa hii debate kawaangusha mashabiki wake mimi nikiwa mmoja wao! Sikuwahi kumsikiliza vizuri huyu jamaa!Mwaka huu kwa kweli hakuna mgombea bora!
It's a race to the bottom.
Trump kwa hii debate kawaangusha mashabiki wake mimi nikiwa mmoja wao! Sikuwahi kumsikiliza vizuri huyu jamaa!
Trump kwa hii debate kawaangusha mashabiki wake mimi nikiwa mmoja wao! Sikuwahi kumsikiliza vizuri huyu jamaa!
Sawa lakini pia ni kazi yake kuhakishisha wagombea hawaingiliani
Kweli Mkuu ngoja nisubiri debate ijayo I hope washauri wake watamwandaa vizuri! Dah nimenywea kabisa!Bora umekuwa mkweli tu Mkuu. Hakustahili kufika huku, kulikuwa na wagombea wazuri na wenye experience kubwa kuliko yeye lakini ndiyo hivyo tena demokrasi ilifanya vitu vyake,
Bora umekuwa mkweli tu Mkuu. Hakustahili kufika huku, kulikuwa na wagombea wazuri na wenye experience kubwa kuliko yeye lakini ndiyo hivyo tena demokrasi ilifanya vitu vyake,
Kweli Mkuu ngoja nisubiri debate ijayo I hope washauri wake watamwandaa vizuri! Dah nimenywea kabisa!
She had her best moment on the foreign policy stuff especially when she reassured the world that they can rely on America under her leadership
Kabisa yaani, kila media unayofungua inachambua mapungufu yake. Seemingly, Clinton amejiongezea credit sana kupitia mdahalo huu. Angalia alivyoweza kumhadaa na issue ya private emails. Amejibu kwa ufupi na Trump ameshindwa kuendelea na agenda hiyo tena.Trump was Trump today and he did what he was suppose to do...To show the whole World that GOP made a big mistake to nominate him as their candidate.
This is a shocker!
Yaani kabisa BAK unakubali kuwa GOP walikuwa na wagombea bora kuliko Trump?
Mi nilidhani wewe hakuna GOPer yoyote yule unayeweza hata kukiri kuwa anafaaπ.
Maajabu ya mwaka haya.
Pamoja na kuwa nawapinga vibaya sana hawa watu lakini naamini kwamba kulikuwa na wagombe wawili watatu ambao ni wazuri tena kwa mbali ukilinganisha na huyu jamaa....New Jersey gavana, Bush and Ohio gavana Kasick. Kasick alistahili kuliko mwingine yeyote yule. Usione maajabu huo ni ukweli lakini pamoja na hao kuwa wazuri lakini hawastahili kuingia WH wanaposimama na Hillary, hiyo ni opibnion ya BAK ambayo opinion ya BAK inaweza kabisa kuwa tofauti na ile ya wapiga kura. Hata political pundits chungu nzima hawakutegemea Trump afike huku kwa kujua fika kwamba kuna wagombea wazuri zaidi kuliko Trump.
Haha!, damn I heart Hillary, talkin' bout Stamina huh!
Her answers are just short but super clear.
Trump was Trump today and he did what he was suppose to do...To show the whole World that GOP made a big mistake to nominate him as their candidate.