Hawajazungumzia na muda ndiyo umeshayoyoma.
Immigration labda kwenye debate ijayo!
I feel dizzy from watching this I. Its going in so many directions my head is spinning. None of them comes off being coherent, which is really bad on Hillary. The onus was on her to come off as the adult here because we know Trump is just a raving lunatic.
She has settled down though, but boy did she have a bad beginning.
How come suala kama hilo halijadiliwi kwenye mdahalo muhimu kama huu?
Huyu Trump hamna kitu kabisa, sasa hivi anaimba Sean Hannity!
Huyu Trump hamna kitu kabisa, sasa hivi anaimba Sean Hannity!
....labda milioni 100 the first 10/15 mins wengi wameshahama Chanel, huyu host naye ni tatizo ameshindwa kuimudu hii debate.
I think his main job was to pose a question and let them be, lakini mihemko ya Trump inafanya aonekane kama yuko kimya.
Viwanja hawana hawa. Labda ni ile hadithi ya kuendelea mwanzo maana viwanja vingi vizuri ni vile vilivyojengwa karne ya 21. Ni Kama nyumba za magomeni "kota" enzi zake sio mchezo vile.Afadhali na wewe umeliona hilo.
Hata JFK nayo hivyo hivyo tu.
Ambayo angalau iko vizuri ni Atlanta's Hartsfield-Jackson....tena international terminal.
Domestic iko hovyo tu.
I think his main job was to pose a question and let them be, lakini mihemko ya Trump inafanya aonekane kama yuko kimya.
Ni kweli aisee na huyu Trump ndivyo alivyo hata debates za nyuma alifanya hivyo, kuongea katika wakati ambapo si wake. Bado hizo denate mbili zilizobaki zina umuhimu mkubwa sana.