chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 338
2015 hakika tulipigania....CHICHIMIZI
Mungu alitia wepesi na tukaingia kwenye mifumo basi 2016 na sisi hatukukosea tukaganda na mifumo na tukajaribu kucheza na fulsa ipasavyo...hatimaye tukavuna kiasi.... 2017 ndiyo hiyo inawadia basi mola tuwezeshe na ututie nguvu kama ulivyofanya 2015,2016 amen.
Chichimizi