2015-uchaguzi mkuu na hatma ya nchi

Napenda kuchukua nafasi kumpongeza Magufuli kwa ushindi aliyopata, Tumpe ushirikiano tusonge mbele..

Pia napenda kutoa pole kwa chama changu Chadema/Ukawa kwa kushindwa ila sina huruma nao maana tulisema miaka 5 iliyopita kuwa huwezi kutegemea kitu tofauti kwa tume ile ile iliyoundwa na Mwenyekiti kwa chama tawala.. kupata matokeo tofauti utakuwa ni muujiza.. Muda walikuwa nao, hoja walikuwa nazo, umma wa watanzania kulikuwa nyuma yao na kizuri zaidi hata Mwenyekiti wa CCM aliona dosari katika tume ya uchanguzi lakini Viongozi wa upinzani hawakutumia nafasi hiyo kuhakikisha wanapata tume uhuru..

Tumeona majeruhi wa hii tume akina Kafulila, Wenje, Mkosamali na wengineo lakini ninaweza kusema kwa madaa makubwa kuwa: "ngoja wajifunze"

Tushirikiane tujenge nchi yetu "labda Magufuli anaweza kufanya ambayo hayakufanywa na watangulize wake"
Alinda naomba nianza kupongeza magufui KWA USHINDI ALIOPEWA

Maneno yako mazito tayari yapo katika bandiko maalumu 'TATHMINI YA UCHAGUZI WA 2015' Itakayokuwa na maadiko 5 mfululizo na ikijadili haya

1 Upinzani na wapi walikoshindwa kuona goli la mkono '

2. NEC ''ilivyofanikisha'' uchaguzi kwa mwendo wa pole na haraka

3 Uongozi wa Magufuli nchi ikiwa imegawnyika , chuki iikitawala

4.Kifo cha muungano mikononi mwa Magufuli

5 Mengineyo

Inafuata nyuzi mpya hapa duru
 
Back
Top Bottom