Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,841
- 2,664
Hilo la kusema kusubiri ni kukipa ccm pumzi zaidi. Ningekushauri uwashauri wapinzani wengine kumuunga slaa mkono
Hilo la kusema kusubiri ni kukipa ccm pumzi zaidi. Ningekushauri uwashauri wapinzani wengine kumuunga slaa mkono
Don't compare apples and oranges. Uraisi ni cheo kimoja tu. Shuleni mtu ukiwa wa kumi haimaanisha huta endelea na masomo. Kinacho angaliwa ni maksi zako. SO sioni uwiano hapo na mada iliyopo. Mada ni maandalizi. Ina sikitisha kwamba watu hawaja fikiria ni nini kinacho takiwa kufanyika kumpa mgombea wamtakae ushindi bali wanaona moja kwa moja ata shinda. Watu lazima wajifunze kutofautisha hisia zao binafsi na mawazo ya wengine. Yes wewe una weza ukamsupport Slaa, yes mimi naweza kumsupport Slaa ila ume chunguza nini hisia za wapiga kura wa Tanzania? Je una uhakika kila mtu ana mawazo kama yakwako. Fikiria.
Unachoongea ni kweli, lakin tuki prioritize, kipi Bora kwa Sasa,kuangalia jinsi gani Dr Slaa atashinda au nini atafanya baada ya kushinda au vyote kwa pamoja,kitu ambacho mimi nadhan Mwana FA unakosea ni kule kutaka kutozungumzia mikakati ya nini kifanyike ilikupata Viongozi Bora,unacho stick ni kuwa hao viongozi watafanya nini,kumbuka kuwa akipatikana kiongozi bora,itakuwa ni Rahisi sana kwa hata wana nchi ku mshape katika maamuzi ambayo atayafanya (Tofauti na sasa),kama umekiri wewe ni kada wa CCM na utatetea maslahi ya CCM kwa ngyvu zote,yanini basi kuusemea upinzani,hauoni kuwa huo ni unafiki....
Slaa akifanikia na akashinda bado itabidi yeye na chama chake kiongoze serikali kwa miaka mitano. hamna anaye ongelea nini kifanyike baada ya ushindi kana kwamba kutoka kwa CCM tu ndiyo mwisho wa kazi. Wengi wenu mtasema tukazanie kuona kwanza ushindi wa upinzani lakini mimi ni mtu ninaye penda kuangalia mbele. Ni sawa sawa na kuomba visa ya kwenda kusoma ne bila kufikiria ada utailipaje. Mimi ni wale ambao siyo tu naangalia visa nitaipataje bali ada na mahitaji mengine nita yafanikishaje....kuangalia mbele